Zero Mothers Die
  • Home
    • About >
      • Team
      • Partners
      • Country Projects
      • Resources
      • Press
  • COVID-19
  • ZMD App
    • ZMD App en Français
    • ZMD App en Español
    • ZMD App em Portugues do Brasil
    • ZMD App Oromo (Ethiopia)
    • ZMD App Amharic (Ethiopia)
    • ZMD App para Perú
    • ZMD App pour Goma (RDC)
    • ZMD App Swahili
  • Technology Toolkit
    • mHealth Resource Center
  • Youth
  • Francais
    • Soutenir ZMD
  • News
  • Contact

 ZMD App in Swahili (Sifuru Mama Kufa)

Sifuru Mama Kufa ni mupango kidunia kuusu kuokowa maisha ya wanamuke wenye mimba na watoto wakuzaliwa kupitia viombo ya simu ili kuongeza upatikanaji wa ma habari juu ya ujauzito ya afya na huduma ya dharure.

Kifaa Sifuru Mama Kufa imeleta ma habari kuusu afia ya wa mama, watoto wazaliwa mpia na watoto. Ime leta ma shauri juu ya mimba bila tatizo na namuna ya kutunza wazaliwa mpia, imetengenezwa kwa ajili ya wanamuke wenye mimba,wa binti na ma jamilia yao na kwa waganga wenye kuleta matunzo ya kwanza,na kwa mwisho imefunika kukosa ufahamu na ujusi ao ubusara juu ya ku punguza vifo vya mama na ya wazaliwa mpya ulimwenguni.

Sifuru Mama Kufa Zero ni mupango ya ushirikiano uliyo anjisha na Advanced Development for Africa, Millennia2025 “Women and Innovation” Foundation et UniversalDoctor Project, na wa shirika muhimu wa kiufundi wa kimataifa kama UNAIDS, Airtel, Global Partnerships Forum et ZMQ.

​Utafsiri kiswahili iliyo fanyika na Dr.Constant Kansango Tchandema, CAE RDC ASBL(Comité Afro Europeen RDC ASBL) na musada ya Fondation AMADE Mondiale.​
Picture
Picture
Picture

Picture
Zero Mothers Die Partnership Consortium: Advanced Development for Africa Foundation, Millennia2025 Foundation and UniversalDoctor Project.
HOME | ABOUT | TEAM | PARTNERS | ZMD APP | FRANÇAIS | NEWS | CONTACT
Header images: CC Image courtesy of UNAMID | CC image courtesy of Pierre Holtz for UNICEF
Privacy Policy
Website designed by Jeannine Lemaire
© Zero Mothers Die 2017